Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Wednesday, October 14, 2009
Sinema - Aerodynamics
Wadau, nimo katika hii sinema Aerodynamics. Naigiza kama mwanamke mwenye wivu katika scene ya klabu. Nilifanya kama miaka mitano iliyopita, na bado haijaiisha. Ni sinema iliyotengenewa na mtu binafsi (Independent Film). Kaka Theodore anasema itatoka mwakani Mungu akipenda.
Kanumba zake zinatoka kila mwezi
ReplyDelete