REST IN ETERNAL PEACE REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW. Mume wangu alikuwa mwanajeshi enzi za Vietnam, amezikwa kwa heshima za kijeshi leo huko Cambridge Cemetery.
Asante Ezekiel Luhigo kwa picha.
Kutoka Kushoto Mwanangu Elechi Kadete, Shemeji yangu Dennis Whitlow, Mwanangu Camara Kadete
Pole sana dada Chemi. Mwenyezi Mungu akuzidishie faraja. Pia akupe nguvu. Twaamini ameipokea roho ya marehemu na kuiweka mahali pema peponi.
ReplyDeleteAmina.
Pole dada Chemi na Mungu akupe subira wakati huu wa maumivu. nawapa pole pia na wajomba.Ninachoweza kusema ni kukuombea wewe maisha ya saburi na pia roho ya marehemu mchungaji Whitlow ikae pema peponi Amina.Naitwa Beda msimbe Mzee wa lukwangule, mbagala Dar es salaam
ReplyDeleteDa Chemi na familia poleni mno mno mno.
ReplyDeleteR.I.P REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW
ReplyDeletePole sana Dada Chemi,Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
ReplyDeleteR.I.P Reverend.
ReplyDeletePole sana dada Chemi na familia.
Pole sana dada Chemi,mungu akutie nguvu.
ReplyDeletePole sana Da Chemi. The hardest part about loosing a loved one is picking up the pieces afterward and trying to establish a 'normal' life. They say time heals, my prayer is that God gives you comfort and perseverance in this difficult time. RIP Rev Whitlow.
ReplyDeletePOLE TENA DA CHEM
ReplyDeleteMOLA AKUZIDISHIE NGUVU NA FARAJA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.God,s love..
RIP REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW
pole sana kwa msiba mwenyezi mungu akupe nguvu kwa kila jambo unalolifanya wape pole na vijana wangu. Mdau UK
ReplyDeletePole sana dada chemi hayo yote ni mapenzi ya Mungu.
ReplyDeleteAsante -Kaka yako Mwakipesile
silver spring MD.
Mwaki66@yahoo.com
Pole sana da Chemi, poleni wanafamilia wote.
ReplyDeletePole sana Da Che,i kwa kuondokewa. Mwenyeezi Mungu akupo subira na uwe ukimwombea marehemu radhi zake allah.
ReplyDeletePole Sana Dada Chemi... May his soul rest in peace
ReplyDeletePole sana chemi. mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina
ReplyDeletejaman pole sana dada chemi,bwana ametoa na bwana ametwaa,mungu akupiganie!
ReplyDeletePole sana dada Chemi, Mungu hutoa na iko siku huchukua. Mwenyezi Mungu akupe Subira. pole sana kwa msiba.
ReplyDeletepole da chemi na familia yote, Mungu awape faraja.
ReplyDeleteMS GBENNETT
pole sana dadangu.Ndiyo naisoma habari hii.Pole sana.
ReplyDeletePole Dada Chemi kwa hou msiba, mungu akupe nguvu mpya ya kukabiliana na maisha baada ya kifo chake
ReplyDelete