Tuesday, March 30, 2010

Waafrika Waalikwa Kukutana na Gavana Patrick


Wadau, waafrika tunaoishi Massachusetts tunaalikwa kukutana na Gavana Deval Patrick. Gavana Patrick ni mweusi wa kwanza kushika wadhifa huo. Twendeni tusikie anasema nini. Pia itakuwa nafasi kuongea dukuduku zako. Natabiri waNigeria wataihijack!

**********************************************
The Governor's African Council (GAC)


Invites you to

THE FIRST
African Town Hall Meeting

with
Governor Deval Patrick

At

The Tobin Community Center , 1481 Tremont St .
Roxbury Crossing , MA . 02120

Doors open at 2:15pm . Governor will speak at 3:00pm

Please RSVP and Volunteer to Organize!

Spread the Word and Let Us Work To Strengthen the African Voice!

***********************************************************

GOVERNOR'S AFRICAN COUNCIL (GAC)

The Governor's African Council (GAC) is an independent community initiative that aims to strengthen the African Voice in Massachusetts through political and civic engagement.

The GAC's objective is to unify and increase the participation of the African community in the Massachusetts political processes and build a voice that can advocate for the community's needs.

GAC is organizing the First African Town Hall Meeting as one way to give voice to the issues of the African community. It is one of the many major events GAC will be organizing to strengthen the African voice in Massachusetts .

If you are interested in learning more or being a part of building the GAC, please email us at gaccampaign@gmail.com or call us at 617-5447- GAC.

4 comments:

  1. Sasa huo mbona ndio ubaguzi wenyewe? Imagine angekuwa gavana mzungu akaalika wazungu wenzake kukutana naye mngepayuka 'ubaguzi!'hadi midomo iwafure!

    ReplyDelete
  2. Barafu,

    Kabla ya kubwatuka,,,ungeeomba kueleweshwa.....
    Massachusetts na USA kuna jumuiya za watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali e.g Boston kuna Italia Community kubwa tu..Sasa Mayor Thomas Menino akitaka kukutana na hio Jumuiya ataitwa mbaguzi....
    Nchi hii imekuwa na JEWISH COMMUNITY,Norwegian COMMUNITY,Irish COMMUNITY.
    John Winthrop was the first governor of Massachusetts from 1588to 1649. there have been more than 70 Governors na wamekutana na communities za wa irish,italians,Norwegian na wengine wengi tu sasa usituletee upuuzi wako wa kusema ubaguzi...ok?


    FYI:May/June 2008 Barack Obama met Jewish community in Florida...Je utamuita nani mbaguzi Obama au Jews?

    ReplyDelete
  3. Comment ya kwanza tu inakatisha tamaa, kwamba baadhi ya watanzania hujaamka. Kama vile dada Chemi alivyobashiri kwamba "waNigeria wataihijack" sababu wao wameamka.

    Huyu Barafu ni kama haelewi vizuri mambo. Hapo ndio utajua kwamba attendence ya wabongo itakuwa finyu, au hata zero kabisa. Wanaigeria na waafrica wengine wenye mwamko, na Afican americans watatumia opportunity kufamiana naye na kujenga uhusiano na ku-introduce shughuli zao mabalimbali za kijamii , mara nyingi hii ni nafasi nzuri ya ku-network.

    Barafu nakushauri ujifunze, labda usome vitabu, magazeti, na kuangalia vipindi vya TV vyenye kulemisha. Hapa marekani kuna vyama vya watu kama mwandishi wa juu alivyosema kama Jewish community, African american community, n.k., hata Tanzania pia kuna vyama vya makabila, kama chama cha waaya, wachaga, wangoni wanaokaa Dar mfano.

    PEACE

    ReplyDelete
  4. Naomba kupata kilisha nyuma cha mkutano huo... je, wanaigeria wali-hijack kama ulivyotabiri... nini kilitokea?

    ReplyDelete