Jamani huo mchezo wa kupambana na ng'ombe dume (bull) huko Hispania una athari zake. Yaani huwezi kuamini lakini huyo jamaa bado yu hai!
Mnaweza kusoma story hapa:
http://www.nypost.com/p/news/international/gored_matador_gets_spain_and_suffering_uKtLPXB9Snnc3d4BRNZPUN
Tofauti ya mchezo huu na masumbwi, ni kuwa mshindani mmoja anakuwa hana akili. Lakini kwa ujumla michezo yote hii ni hatari!!!
ReplyDeleteAti raha ya chakula cha kiHindi ni pilipili imfanyayo mlaji atokwe machozi wakati anakula. Raha ya Kung Fu ni kupigana na kupigwa na hata Raha ya mchezo huu ni uwezekano wa kuumizwa
ReplyDeleteHii inaitwa ajali kazini, siku moja moja lazima na yeye ashinde ndio mtajua umuhimu wa haki za wanyama
ReplyDeletehorror!!! sasa ilo pembe lingeenda juu kidigo tu kwenye ubongo au tumboni au kwenye moyo kifuani jamani mchezo hatari huu sijapata kuona umepitwa na wakati
ReplyDeleteIngeenda kwenye ubongo tungekuwa na kilio leo. Wanasema jama alikuwa handsome na huyo ng'ombe kaharibu uhandsome wake.
ReplyDelete