Friday, May 28, 2010

Viongozi wa Afrika Part II

L-R Rais Siad Barre wa Somalia, Mwalimu na Rais wa FRELIMO Samora Machel. Baada ya Msumbiji kupata uhuru Machel alikuwa Rais wa nchi hiyo. Alifariki katika ajali ya ndege Afrika Kusini.
Nisaidie majina. L-R, Rais Kenneth Kaunda wa Zambia, ?, Rais Indira Gandhi wa India, Mwalimu, Rais Milton Obote wa Uganda, ?
Rais Mobutu Sese Seko wa Zaire (Congo), Rais Kaunda wa Zambia nyuma yake na Mwalimu
Mama Maria Nyerere, Dikteta Idi Amin Dada was Uganda na Mwalimu

3 comments:

  1. wa mwisho kulia ni sir seretse khama

    ReplyDelete
  2. indira gandhi was a pm not a president of india

    ReplyDelete
  3. somalia ilisaidia ukombozi wa afrika kusini, nakumbuka miaka ya sitini na sabini kongwa dodoma kulikuwa na kambi ya wakimbizi toka msumbiji na maofisa wa jeshi toka somalia walikuwa wanafundisha mbinu kina frelimo, halafu baadae kina nkomo,mugabe walikuwa wanapewa silaha na siad barre, nawapongeza uganda/burundi kusaidia somalia sasa, they deserve our help in the time of need!!!

    ReplyDelete