L-R - Emperor Haile Selassie (Eithiopia), President Jomo Kenyatta (Kenya), President Gamal Abder Nasser (Egypt), and President for Life Hastings Kamuzu Banda (Malawi)
Hii picha naona ilipigwa kwenye miaka ya 1964. Rais Nasser alifariki 1970, na Mzee Banda anaonekana bado kijana.
Sekou Toure alikuwa na mke mzuri. Lakini jamaa alikuwa mbaya kweli aliua watu kama Idi Amin alivyokuwa anaua!
ReplyDeleteumeshuhudia au umelishwa tu umeshiba?
ReplyDeleteacheni kushabikia mambo!
eti nasikia kulikuwa na picha wamejipanga katika mstari viongozi wa Africa na majina yao yanasomeka hivi:-
ReplyDeleteNyerere, Kaunda, Banda, Azikiwe, Karume.
eti ni kweli? kwa wanaojua au aliyonayo atuletee tuione.
Pamba za wakati huo zilikuwa ni kali sana, ila za Mwalinu ni za kijamaa/simpo
ReplyDeletemdau wa pili ni kweli sekou toure alimaliza wapinzani huko guinea, kama hujashiba wacha nikushibishe alimwua hata katibu wa oau aitwae Diallo Telli. mdau wa tatu nyerere, kaunda, azikiwe,banda, karume hakuna kitu kama hicho labda nyerere-kaunda-obote kwa sababu kaunda na obote walikuwa wajinga wa nyerere!!!!
ReplyDelete