THRILLLER!
Leo ni mwaka moja tangu mwimbaji maarufu, Michael Jackson afariki dunia. Kwa vile alikuwa na sura nyingi, nimeamua kuweka picha zinazoonyesha nyuso zake. Wengine wanamkumubuka vizuri alivyo kuwa mweusi, na wengine wanamkumbuka alivyogeuka kuwa mzungu.
REST IN ETERNAL PEACE MICHAEL! WE MISS YOU BUT YOUR MUSIC LIVES ON!
Kwa habari zaidi someni:
Duh! Kumbe alijiharibu namna hiyo! Angekuwa mzuri bila kuchonga pua, mdomo, mashavu. Mbona kaka zaka na dada zake wote wazuri!
ReplyDeleteanon, Nani kakwambia dada zake maiko jakisoni hawajachonga pua? au hawajafanya face lift? ama hawatumii kemikali zingine ili waonekane jinsi walivyo leo hii?
ReplyDeleteJanet kachonga pua, kapunguza matako na kiuno kwa liposuction. LaToya kachonga pua anatumia krimu ile mbaya. Yaani kawa mbaya kweli ukimowna utasema kinyago kama Michael. Dada yao Maureen mkubwa ndo kajiheshimu yuko kama Mungu alivyomwumba.
ReplyDelete