Wadau, hakuna raha kama kuangalia maendeleo ya mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia. Mdau Nicolas wa Arusha amenitumia picha za mwanae wa kwanza Nicole. Nicolas alikuwa hapa Boston na Minnesota kabla ya kurudi Tanzania. Alioa mwaka juzi na Mungu amembariki na mtoto mrembo Nicole.
*******************************************************************
Hongera sana baby Nicole kwa kuwa na afya. Ubarikiwe sana.
ReplyDeleteinaelekea sasa blogs ndio sehemu za kujishaua na kufanya show off. mwanzo tuliona mambo ya girl/boy friend, baadae tukaona ndoa na watu wakituma picha zao, na sasa watoto wanaozaliwa.
ReplyDeletesina hakika huko mbele kama tutashuhudia wajukuu au takala zikitumwa katika blogs ili watu wajue.
nadhani tunahitajika kuwa serious zaidi.
sure,blogs zimekuwa mahali pa kujionyesha personal life!!inaboaaaa,wala haihusuuuu.kuna vitu vingi vya maana vya maana vya kuweka ili tudiscuss but not maisha ya watu binafsi!1haiuhusuuuu..usibanie basi hii comment
ReplyDeletesure,blogs zimekuwa mahali pa kujionyesha personal life!!inaboaaaa,wala haihusuuuu.kuna vitu vingi vya maana vya maana vya kuweka ili tudiscuss but not maisha ya watu binafsi!1haiuhusuuuu..usibanie basi hii comment
ReplyDelete