Tuesday, July 27, 2010

Wapiganaji katika Vita Vya Maji Maji

Mateka (War Prisoners)
Wadau, hebu tazama hao mashujaa waliopigana katika vita vya Maji Maji. Tumesahau hiyo Vita.
WaNgoni wakiongozwa na Kinjeketile wakipigana vikali dhidi ya waJerumani walipolazimishwa kulima pamba na kulipa kodi. Waliamini kuwa eti wakisema Maji Maji risasi za Mjerumani hazitawadhuru na zitageuka maji. Mbona walikufa wengi.
Mnaweza kusoma habari zaidi:

4 comments:

  1. Hapa umenikumbusha kitu naona nikiseme kuhusu kumbukumbu wanazozisoma maredioni , mra nyingi sisiskii tarehe kama ya leo Kinjeketile aliiteka ngome Mjerumani, au alikufa, na mashujaa wengine, mnafikiri tutawaenzije hawa watu, hamjui walikufa kwa ajili ya ncho hii ambayo leo unaiita kisiwa cha amani

    ReplyDelete
  2. Picha zilipigwa kabla ya kuwanyonga. WaJerumani walitengeza post card za walionyongwa. Wakatili kweli.

    ReplyDelete
  3. Asante kwa kutukumbusha historia yetu ya mapambano. Nina angalizo dogo. Kinjeketile Ngwale wa Ngarambe hakuwaongoza Wangoni tu, aliongoza jamii mbalimbali za katikati na kusini mwa nchi yetu kupigana vita hivyo. Hakika vilikuwa vita vya kitaifa na si kikabila. Shukrani.

    ReplyDelete
  4. The ngoni were major participants in the majimaji rebellion. Learn more about the ngoni and language on http:www.ngonipeople.com. Another interesting article for those interested in learning the ngoni language. http://www.ngonipeople.com/2011/11/ngoni-grammar-part-3.html

    ReplyDelete