Poleni na kuuguza. Mungu amjalie baba apone vizuri na arudie majukumu yake ya kila siku. Poleni na MBU wa Muhimbili. Hapo mahali pana MBU mno si mchana wala usiku wako active haswa.
Chemi umepaona Muhimbili na madhila yake. Bakhti nzuri waziri wa afya ni kaka yako Dr Mponda. Hebu mweleze kirafiki tu, muombe alete mabadiliko katika hizi hospitali watu tunateseka sana.
Da Chem mpalai poli dadi wetu. Na ahsante kwa taswira ya Muhimbili.
ReplyDeletePole sana Dada yangu na uguza pole. mnnzuri uko karibu pamoja na familia yako kwa wakati kama huu.
ReplyDeleteKumbe mke wa misupu ni mzuri hivyo.Mashallah .....Pole na matatizo ya mzee Da Chemi.Namuombea kwa M/mungu amponye mzee na arudi kwenye afya njema.
ReplyDeletePoleni na kuuguza. Mungu amjalie baba apone vizuri na arudie majukumu yake ya kila siku.
ReplyDeletePoleni na MBU wa Muhimbili. Hapo mahali pana MBU mno si mchana wala usiku wako active haswa.
finally tumemuona mkeo michuzi h ah aha she is so cute!
ReplyDeleteChemi umepaona Muhimbili na madhila yake. Bakhti nzuri waziri wa afya ni kaka yako Dr Mponda. Hebu mweleze kirafiki tu, muombe alete mabadiliko katika hizi hospitali watu tunateseka sana.
ReplyDelete