Nawaza kama Africa ingekuwa moja, nawaza kwamba ingeitwa United State of Africa...mmh nahis mawazo hayo yalikufa na akina Patrice Lumuba, Nyerere nk. Kweli inapendeza sana! Laki mgawanyo huo ulikuwa na maana yake gawanya ili tupate urahisi wa kutawala au sio!
Inapendeza, nimeitumia kuipamba blogu yangu. Asante kwa kuibandika.
ReplyDeleteIngenoga sana tu ZAIDI kama ramani hii ingekuwa imechorwa hivyo na WAAFRIKA!
ReplyDeleteHivi lini Tanzania na Malawi watamaliza migogoro ya mpaka kwenye ZIwa NYASA/Lake MALAWI?
Nawaza kama Africa ingekuwa moja, nawaza kwamba ingeitwa United State of Africa...mmh nahis mawazo hayo yalikufa na akina Patrice Lumuba, Nyerere nk.
ReplyDeleteKweli inapendeza sana! Laki mgawanyo huo ulikuwa na maana yake gawanya ili tupate urahisi wa kutawala au sio!
Katika ramani hii kwa leo Ivory Coast inaonekana zaidi!
ReplyDeletembona bendera ya zanzibar haijaonyeshwa?
ReplyDeleteBendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) iliyotumika ni ya zamani. Kwa sasa DRC wana bendera nyingine
ReplyDelete