Punxsutawney Phil hakuona kivuli chake. Hivyo winter intaisha mapema! Haya mateso ya kupigwa na storm klila wiki yataisha. Asante Phil! Sasa wacha nitoke nijaribu ku-shovel snow na barafu kwenye njia ya wapita njia! Snowpocolypse itaisha!
******************************************************
Phil's official forecast as read February 2nd, 2011, at sunrise at Gobbler's Knob in Punxsutawney, PA:
Here Ye, Hear Ye, Hear Ye
Groundhog Day, February 2, 2011
Punxsutawney Phil was raised from his burrow
By the call of President Bill Deeley.
He greeted his handlers, Ben Hughes and John Griffiths.
After casting an inquisitive eye towards thousands of his faithful followers,
He proclaimed that the Steelers are going to
Back to the business at hand...
He surveyed his surroundings carefully and found that there was no shadow around,
So, an early spring it will be.
Kwa habari zaidi soma:
http://photos.masslive.com/republican/2011/02/john_griffiths.html
Poleni sana na ubaridi...hapo ndipo Mungu anapoonyesha uwepo wake, huku bongo jua la kufa mtu, huko baridii ya kuganda..!
ReplyDeletemmh!!ila imani kitu kibaya badala ya kumuomba mungu mnaamini huyu mdudu!! looh! nimeshangaa sana haya sie tukitaka mvua tunamuomba mungu na anashusha mvua mashambani mazao yanastawi kweli ukistaajabu ya Musa...
ReplyDeleteKitoweo kizuri sana. Anajuaje kutabiri hali ya hewa?
ReplyDelete