Friday, April 01, 2011

Adam Lusekelo Afariki Dunia!

THIS IS NOT AN APRIL FOOL'S DAY JOKE!

Rafiki yangu na aliyekuwa mfanyakazi mwenzangu miaka mingi Daily News, Adam Lusekelo, amefariki Dunia. Taarifa niliyopata kutoka Daily News ni kuwa alifariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake.


WHAT A WAY TO GO YOU JOKESTER...ON APRIL FOOLS DAY!

REST IN ETERNAL PEACE MY DEAR BROTHER ADAM!


More information will be posted as I get it.

**************************************

By DAILY NEWS Reporter, 1st April 2011

SEASONED and veteran journalist, Adam Lusekelo (54) passed away while being rushed to Muhimbili National Hospital (MNH) on Thursday night, his wife Scolastica Lusekelo, said. Ms Lusekelo said the deceased’s health deteriorated on Thursday night when relatives rushed him to MNH.

“He didn’t even reach the hospital, he breathed his last on the way at around 11pm,” Ms Lusekelo said. The 'Sunday News' columnist has been battling diabetes for a long time and was surviving on medication.

“Oh, no! We have lost a 'Sunday News' readers’ favourite,” lamented the newspaper’s Editor, Ichikaeli Maro upon receiving news of Mr Lusekelo’s death. His column, a unique blend of writing serious issues of national importance with a soft touch, won many hearts and souls.

“My husband will miss him badly, he was his favourite columnist,” said Joyce Sabuni, Tanzania Standard Newspapers employee in the circulation section.

TSN Acting Managing Editor, Mkumbwa Ally also mourned the death of one of journalism’s most gifted writers.

Burial arrangements are being made at his home at Ubungo Maziwa, but the body is likely to be transported to his home region of Rungwe in Mbeya, his wife said. The late Lusekelo is survived by a wife and three children, two daughters and a son.

He worked with TSN briefly in the 1980s before joining BBC as a correspondent based in Dar es Salaam.

7 comments:

  1. Si ndugu zake wangempeleka akapate kikombe cha babu? R.I.P.

    Jamaa alikuwa na vichekesho ile mbaya!

    ReplyDelete
  2. Mpiganaji katutoka , mungu ailze roho yake pema peponi

    ReplyDelete
  3. Asante sana kwa kututaarifu. Tunawaombea familia yake, ndugu wote na jamaa, pia Watanzania wote MPATE FARAJA YA KUKUMBUKA MUNGU NDIYE MWENYEMIPANGO YOTE YETU BINADAMU MOJA MOJA TUKIWA BADO HAI HATA TUKIFA.

    Katika Blog ya mwenzetu yenye jina la "SAUTI YA BARAGUMU" (John Mwaipopo) tulichambua kidogo mchango wa kalamu yake (http://mwaipopo.blogspot.com/2011/03/dowans-wants-to-negotiate-huwa-napenda.html).


    Nasikitika kwamba wasiwasi na mashaka yetu sasa yataongezeka zaidi kwamba "je maandishi ya Adam Lusekelo yataingia lini (tena kivipi) katika vitabu?


    Hiyo basi itakuwa changamoto kwa waandishi wengine, labda waanzishe "The Lusekelo Foundation" kwa kusaidiana na familia yake kusudi hazina yaAfrika kutokana na michango yake isutupotelee.

    Kwa upande wangu nitarudia (PARAPHRASE) mchango wangu siku hiyo ya mjadala katika kibaraza cha "SAUTI YA BARAGUMU":

    Rest in peace, African Brother
    Son of Mother Earth Lusekelo Adam
    Often the literary enigma
    Frequently the mystery for motive
    Yet the phenomenon without question
    Galactic were the proportions!


    How one crater
    Complete with nuclear fission
    Had its fathering meteor
    come flying over Mount Kilimanjaro
    Burrowing in and out
    The Gorge ancient Olduvai
    A human skull only to inhabit
    Many and me still baffles.


    You are dead today but tell you I
    That fire of love shall never die
    Thou started it so ride on it!
    Your chariot of fire to heaven!

    ReplyDelete
  4. NDUGU ZANGU,

    NIMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA HABARI ZA MSIBA WA NDUGU YETU KATIKA MAPAMBANO, ADAM LUSEKELO MWAKANG’ATA. NIMEMEANZA KUMSOMA ADAM TANGU NIKIWA TAMBAZA SEKONDARI MIAKA YA 80. ADAM LUSEKELO NI KAKA YANGU KATIKA UANDISHI, NI KAKA WA WENGI.

    KUPITIA KAZI ZAKE, KWANGU MIMI, KWA NAMNA YAKE, ADAM LUSEKELO AMEKUWA AKIFANYA KAZI YA KUAMSHA FIKRA ZA WATANZANIA ILI WAIFANYE WENYEWE KAZI YA KUJIKOMBOA KIFIKRA. ALIIFANYA KAZI HIYO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TANGU ENZI ZA MFUMO WA CHAMA KIMOJA.

    ADAM AMEWASAIDIA WATANZANIA WENGI KUJIBU SWALI WANALOJIULIZA LAKINI MAJIBU YAKE WANAPEWA NA WASIOTAKA SWALI HILO LIULIZWE, TENA KWA KUKIMBILIA KULIJIBU KABLA YA UMMA HAUJATAFAKARI NA KUTOA JIBU. SWALI NI HILI; NI NANI ADUI WA UMMA?

    TUNAJUA, KUWA KATIKA KUIFANYA KAZI YAKE, KUNA AMBAO WALIMCHUKIA ADAM KWA KAZI YAKE YA KUWAAMSHA WATANZANIA KUTOKA USINGIZINI.

    ADAM AMEONDOKA, LAKINI, BILA SHAKA, MOYONI ALIAMINI, KUWA AMEACHA WENGI WA KUIENDELEZA KAZI YAKE. NDIO, ADAM LUSEKELO AMEONDOKA WAKATI WATANZANIA WAKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUJIKOMBOA KIFIKRA.

    ADAM LUSEKELO ATAENDELEA KUISHI, ATAKUMBUKWA NA WENGI.

    MAGGID MJENGWA,

    IRINGA
    JUMAMOSI, APRILI, 2, 2011
    http://mjengwa.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. Eh Mungu wewe ndio mtoaji na umeamua kutwaa. Tutaikosa sense of humor yake na ninaamini Daily news na media fraternity wamepata pigo.

    ReplyDelete
  6. Salaam Bi Chemi na asante kwa kutuarifu kuhusu kifo cha ndugu yetu mpendwa Adam Lusekelo.Binafsi nimekipokea kwa masikitiko sana ni kama tujuavyo sote tumekuja Duniani kwa nyakati inapofikia Mola kutuita budi hatuna kujibu wito.Tumuombea mpendwa ndugu yetu kwa Mola,na tuendeleze yale aliyo anzisha ya kuelimisha Umma kuhusu ulafi na maovu yanayofanywa na Viongozi Mafisadi[Marehemu alikuwa anawaita ni Majizi tuu],R.I.P my dear Brother.Mackigos MidSouth USA.

    ReplyDelete
  7. Ndugu zake wangemwahi kwenye kikombe angekuwa badi yu hai! R.I.P Adam Lusekelo

    ReplyDelete