Saturday, June 16, 2012

Mimi Katika Sinema That's My Boy





Wadau katika Sinema That's My Boy, ambayo imetoka kwenye theaters wiki hii, mimi nilikuwa Stand In wa Luenell ambaye anaigiza katika hii sinema kama Champale ambaye ni Stripper (mvuo nguo).    Champale ni mama mtu mzima anayepnda kutembea na matiti nje.  Matiti ambayo mnaona ni feki.  Kazi ya Stand In ni kuhakikisha kuwa mwanga, microphone nk. ziko sawa kabla ya Stelingi kuingia kufanya kazi yake. Kila kitu ambayo utaona kafanya Luenell, nilifanya mimi kwanza.  Wali-shoot mwaka jana katka sehemu mbalimbali Massachusetts.

 Katika kideo hii walikuwa wananitumia kupima rigging kwenye pole kwa vile mimi na Luenell tulikuwa na uzito sawa.   Nilifundishwa siku kadhaa kabla ya hayo mazoezi jinsi ya kupanda hiyo pole. Hivyo alipoingia kufanya kazi yake ilienda smooth.  Hii ni ile scene ambayo anakul mayai na sausage.  Nilishinda nao wiki nzima katika seti ya Strip Club. Ni wiki ambayo sitasahau maishani mwangu.  Kama unatafuta sinema ya kuangali wiki hii napendekeza That' s My Boy!

Kwa vile sinema imetoka narushusiwa kuongea kuhusu ushirikiano wango katika hiyo sinema. Lazima niseme kuwa Adam Sandler ni mtu poa sana.

Picha kutoka Sinema, niliinginiwa sana kichwa chini miguu juu kabla ya Luenell kuingia kufanya kazi yake.

Mimi na Lunell mwaka jana kwenye set ya That's My Boy. Hayo matiti ni feki!

You can Read a Review of That's My Boy HERE: 

7 comments:

  1. Unapiga hatua dada! Hongera.

    ReplyDelete
  2. Da Chemi naona you have put on a lot of weight. Naona Chemi niliyemfahamu Dar miaka ya 80 na 90 ni tofauti sana na Chemi wa 2012 wa Marekani.

    ReplyDelete
  3. Anony was 4:53AM. Asante. I'm just curious to know if you the same as you did when I knew you back in the 1980's & 1990's?

    ReplyDelete
  4. I haven't changed much weight-wise over the past two decades or so. However, I now have a a sprinkling of grey hair kama Barack Obama!

    Mdau,
    Dar es Salaam.

    ReplyDelete
  5. Anony of 4:53AM June 22nd. Do you think that people's bodies remain static and never change? Do you look the same as you did in secondary school [or as a baby, for that matter]? Don't be ridiculous and don't try to put people down~ furtively and sneakily. We all change physically and pyschologically. Wake up!

    ReplyDelete
  6. People here are trying to make a mountain out of a molehill. I don't see anything negative about what Anonymous June 18, 2012 8:34 AM said unless someone wants to tell me that that in America (I still live in Tanzania) weight is a taboo subject.

    ReplyDelete
  7. After all that's said and done~ CONGRATS Chemi for all your achievements! Way to to go girl!

    ReplyDelete