Mwalimu ni kiungo muhimu sana katika malezi ya wanafunzi hapa nchini.Wao hushinda na watoto wetu kutwa nzima .......
Kwa mantiki hiyo, tabia ya mtoto yeyote aliyewahi kalia madawati ina asilimia zaidi ya 70 ya tabia za walimu wake......
Siku hizi mambo yamebadilika sana.Mwalimu wa miaka ya 90 ni tofauti kabisa na mwalimu wa miaka ya leo.
Walimu wa leo wengi wao ni vijana
wadogo ambao wengi wamejawa na tamaa za mapenzi.Wao hawajui kutongoza
bali wanajua kulazimisha....
Inashangaza na kusikitisha kuona walimu wetu wakishindana KUTOA BIKRA ZA WATOTO WA KIKE......Mtoto akikataa basi cha motoatakiona ....
Mtandao huu umebahatika kuongea na
mwanafunzi mmojaambaye ni mhanga wa tukio hilo la kulazimishwa mapenzi
na mwalimu wake..........
HILI NI SIMULIZI LAKE:
--------------------------------------------------------------------
Mwalimu akimbaka mwanafunzi wake darasani. Baada ya picha hii kutoka kwenye gazeti la Udaku Mwalimu huyo mbakaji mshenzi alijiua! |
"Mwalimu alianza kunitaka tangu
nikuwa form one.Nilipomkataa alianza kunichapa tena bila kosa maalumu
na kunipa adhabu kila mara...
Baada ya kufanya hivyo kwa muda,
aliamua kuniita ofisini na kuniambia kuwa anatanisaidia kimasomo
endapo ntamkubalia.Niliamua kumkubali kwa kwa kuhofia viboko na
aliniambia nisimwambie mtu.
Siku ya kwanza kufanya mapenzi
alinipeleka gesti na aliniambia kuwa atatumia condom.Kwa kuwa ilikuwa
ni mara yangu ya kwanza hatukuweza kutumia kinga na alifanya
hivyohivyo.
Baada ya hapo tuliendelea kufanya
hicho kitendo hata tukiwa shule.Wakati wa kutawanyika, mwalimu alikuwa
akiniita katika ofisi yake na kunilazimisha tufanye.....
Miezi kadhaa baadaye, nilianza
kujihisi tofauti na wazazi wangu waliyagundua mabadiliko
hayo.Walinipeleka hospitali na vipimo vilionesha kuwa nna
mimba.Waliponibana ilinibidi niwaeleze ukweli.....
AFISA ELIMU AINGILIA KATI:
Baada ya kubaini hali hiyo, baba
alinipeleka moja kwa moja mpaka kwa afisa elimu wa mkoa.Sikuwa na jinsi
zaidi ya kueleza ukweli.Mwalimu aliitwa na kuhojiwa.Mwanzo alikataa
kabisa lakini baada ya kubanwa ilibidi akubali.
Mwalimu alisimamishwa kazi kwa muda
na kufunguliwa mashitaka.Alikaa polisi kwa siku mbili, siku ya tatu
alipata dhamana akatoka.....
Alipotoka, mwalimu aliamua kujiua kwa sumu.Shule niliachishwa.nipo nyumbani na mtoto.
Huyu hakupaswa kujiua...alipaswa KUUAWA.
ReplyDeleteNani alipiga picha? Kwanini mpiga picha hakupiga kelele, au kumshtaki huyo mwamilu shetani?
ReplyDeleteJamani tuwafiche wapi watoto wetu jamani mbona dunia nakuwa hivi?
ReplyDeleteDuh! Hiyo kali. Mimi kama mzazi nikijua bingti yangu kafanyiwa mbyaa na mwalimu naua papo hapo!!
ReplyDeleteDisgusting!
ReplyDeleteJamani jamani! Watoto wetu!
ReplyDeleteJamani huyo binti apimwe na HIV.
ReplyDeleteLabda binti ndiye kadai: grade?
ReplyDeleteHuyo Mwalimu atakuwa kazoea. Bora anaitwa marehemu sasa.
ReplyDeleteBinti Kakunjwa!
ReplyDeletePambaffffff nyie,Hii haikutokea Bongo acheni kuzingua watu!!!
ReplyDeleteAhhhh nyege za huyo binti tu.
ReplyDeleteHuyu aliepiga picture mbona hakumtetea mwanafunz? Au yy pia alionjeshwa? Ok pia endapo mwalim albainika na kupewa dhamana mbona kama ilipuuziwa!!
ReplyDeleteOya wacha fiksi....HII VIDEO NI YA MIAKA MINGI NA NI YA WANAFUNZI WA SHULE HUKO NCHINI NIGERIA.. VIDEO KAMILI IMERIKODIWA NA CAMERA FON NA KUNA WANAFUNZI WANAINGIA NA KUTOKA WAKATI HAO WAKIENDELEA KUTOMBANA.. NI WANAFUNZI WA SEKONDARI.. VIDEO INAPATIKANA NAIJASEX.COM PIA XNXX.COM
ReplyDeleteDah mmbongo kashatunga stori kamili...mwalimu ajiua..dah..ebwana eeeh.. hivi wewe mangapi unadanganya kama ata vid hii umeizulia fiksi..wakati umeipata kwenye porn site
Nyie amjajua,alikuwa wakumfiraaaaa,akisha kunya ndo afe kuma uyo.
ReplyDelete