Saturday, October 06, 2012

Sasa, Si Lazima Kumwambia Mpenzi Wako Una VVU huko Canada


Sasa huko Canada, si lazima mtu akuambie kuwa ana  VVU kama mnatumia kondomu. Lakini je, kama nyie ni wapenda ulimi, kunyonyana inakuaje? Ni vizuri kutokujua? Uamuzi huo unatokana na kesi ya Msudani mwenye VVU aliyetembea na wanawake 9 huko Canada bila kuwaambia kuwa anayo.  Bahati nzuri hakuna aliyeambukizwa.  Alitumia kondomu.

Kuna wenye VVU waliofungwa kwa shitaka la kutaka kuua kwa vile hawakuwaambia wapenzi wao ni wagonjwa.

**************************************************

 
TORONTO (AP) - The Supreme Court of Canada has ruled that people with low levels of HIV who use condoms during sex do not need to disclose their condition to sexual partners.

   In a 9-0 ruling Friday, the court said it was reflecting the medical advances in treating the virus that causes AIDS.

   The court first ruled on the issue in 1998, saying that people with HIV must inform their sex partners of their condition or face a charge of aggravated sexual assault. That carries a maximum life sentence.

   The Supreme Court ruled on two separate cases on the issue from Manitoba and Quebec.

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

1 comment: