Monday, January 07, 2013

Tanzania Yapoteza Wasanii wengi katika Kipindi Kifupi

Katika kipindi kifupi tuepoteza wasanii wengi, wengine vijana wengine wazee.  Mungu apumzishe roho zao mahala pema mbinguni. Amen.

Juma Salum Kilowoko a.k.a Sajuki (1986-2013)

John Stephano Maganga  (1988- 2012)

Hussein Ramadhani Mkieti  aka.Sharo Milonea (1985 -2012)
Steven Kanumba  (1984 -2012)

 Fundi Saidi aka. Mzee Kipara (192? -2012)

Rose Thomas (1980 -2012)

7 comments:

  1. They died too young. RIP!

    ReplyDelete
  2. Kazi ya mungu haina makosa, tunawaombea makazi mema peponi. Kutokana na kazi ya tunaweza kusema wametutoka kiwiliwili na roho, lakini kikazi zao bado tupo nao. Ndio maana tunaambiwa kila mtu anatakiwa kila alifanyalo alichunguze mara mbili, kwani matendo hayo yatakusaidia sana huko mbeleni. Na kama umeshatangulia mbele za haki, matendo hayo kama ni mema na yana endelea kusaidia jamii, basi na wewe unaendelea kupata thawabu...

    Tumumbe mungu atujalie tuwe na matendo mema, na kama ni mbaya mungu utusamehe, sisi na hawo waliotangulia mbele ya haki

    ReplyDelete
  3. Naomba Wakristo tuingie kwenye maombi ya kuombea Taifa na vijana kwa ujumla.

    Nachelea isije ikawa wachawi na wanga wanaroga vijana hawa

    ReplyDelete
  4. Vijana Supastaa amkeni. U supastaa haina maina kuwa hutakufa!Muwe waastarabu na watu siyo kujiona oh mmefika huewai kuongea na watu fulani. Dah. Wote tutarudi kweneye udongo.

    ReplyDelete
  5. Yaani bado siamini kuwa Kanumba katutoka. Rest in peace Kanumba na wengine.

    ReplyDelete
  6. Yaani wengi wamkufa wadogo miaka 20na. Wangefanya mengi makubwa kama wangeishi. RIP

    ReplyDelete