Wednesday, March 27, 2013

Picha Kutoka Seti ya Sinema Hapa Boston

Wadau, wiki iliyopita nilishiriki katiika sinema inayopigwa hapa Boston. Kwa sasa haina jina lakini mwongoji ana Oscars kadhaa. Siwezi kuwaambia mengi mpaka sinema itoke.  Nguo niliyovaa iko chini ya koti. Na nilivaa wigi enye nywele ndefu.  Lakini sidhani kama nitaonekana, kama nitabahatika kutoka utaniona natongozana na jamaa chuma kweli!

3 comments:

  1. Hongera mpendwa,...TUPO PAMOJA

    ReplyDelete
  2. Looking good Dada Chemi!

    ReplyDelete
  3. Dah! Simlaumu huyo aliyekutongoza kwenye seti.

    ReplyDelete