Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Wasn't Nyerere really a dictator?
Mdau anony wa juu kabisa uliyeuliza kama nyerere alikuwa dictator.1. Aliichukua Tanganyika ikwa na vyama vingi vya siasa, akavifuta vyote na akabakisha chama chake tuu.2. Wale ambao hawakukubaliana na mawazo yake, walikwenda exile. Kama Oscar Kambona.Na mengineyo mengi tuu.Mashabiki wake wanasema kwamba "kwa wakatu ule, ilikuwa ni sahihi kwa nyerere kuwa dictator"
Wasn't Nyerere really a dictator?
ReplyDeleteMdau anony wa juu kabisa uliyeuliza kama nyerere alikuwa dictator.
ReplyDelete1. Aliichukua Tanganyika ikwa na vyama vingi vya siasa, akavifuta vyote na akabakisha chama chake tuu.
2. Wale ambao hawakukubaliana na mawazo yake, walikwenda exile. Kama Oscar Kambona.
Na mengineyo mengi tuu.
Mashabiki wake wanasema kwamba "kwa wakatu ule, ilikuwa ni sahihi kwa nyerere kuwa dictator"