Wabongo bwana kwa kujishaua tuu hatujambo. Ukiangalia kipindi cha "UK Borders" au "Nothing to declare" kwenye TV; kila siku anakamatwa mtu kameza unga tumboni, na sijawahi kumuona m-bongo hata mmoja kwenye vipindi hivi viwili nilivyovitaja.
Point yangu ni kwamba wameza unga wako kila nchi duniani na wabongo wala hawana umaarufu katika makosa haya. Jamaica, Nigeria, na Senegal ndiyo nchi ambazo zinajulika katika makosa haya.
Kweli tumepata jina baya asante hao wauza unga!
ReplyDeleteMakubwa!
ReplyDeleteWabongo bwana kwa kujishaua tuu hatujambo. Ukiangalia kipindi cha "UK Borders" au "Nothing to declare" kwenye TV; kila siku anakamatwa mtu kameza unga tumboni, na sijawahi kumuona m-bongo hata mmoja kwenye vipindi hivi viwili nilivyovitaja.
ReplyDeletePoint yangu ni kwamba wameza unga wako kila nchi duniani na wabongo wala hawana umaarufu katika makosa haya. Jamaica, Nigeria, na Senegal ndiyo nchi ambazo zinajulika katika makosa haya.