Saturday, November 02, 2013

Fesheni Mpya ya Picha za WanaHarusi Bongo

Wadau, naomba maoni yenu kuhusu hii picha. Mimi nasema Tarzan angefurahi sana kuona wanaharisu kwenye miti! Bibi harusi alipandaje na hiyo gauni na heels?

4 comments:

  1. KAMA MAENEO YA MKWAWA IRINGA ILA SINA UHAKIKA SANA.WAMETOKA KIVYAO

    ReplyDelete
  2. Viatu vya bwana harusi Duh!

    ReplyDelete
  3. iko pouwa..na wamependeza sana kitu natural.

    ReplyDelete
  4. Haifai! Wanaharusi kwenye mti kama ngedere!

    ReplyDelete