Tuesday, February 11, 2014

Mnakumbuka hizi Air Form?

Wajukuu wangu Hii ni kabla ya Internet na E-mail!!!!! Hivi ndo jinsi tulivyokuwa tunawasiliana.

4 comments:

  1. Shuleni tulikuwa tunazingojea kwa hamu!

    ReplyDelete
  2. Umenikumbusha enzi za Boarding School Kilakala!

    ReplyDelete
  3. Shuleni tulikuwa tunazingojea kwa hamu!

    ReplyDelete
  4. Hizi ilikuwa lazima uanze:

    Salaam nyingi ewe uliye mbali ma macho yangu. Ama baada ya salamu...

    ReplyDelete