Monday, February 24, 2014

Wasenge na Mashoga watafungwa Maisha Uganda!

 Hapa Marekani wasenge na mashoga wamepigania haki zao hapa Marekani na sasa ni ruksa kwa wao kufunga ndoa katika mikoa mingi.  Wanakuwa na haki sawa na na mwanaume na mwanamke wanaofunga ndoa.  Sasa wanapigania haki za mashoga na wasenge nchi zingine  barani Asia na Afrika ili nao wawee kufunga ndoa. Leo, Rais Museveni amesema hao wasenge na mashoga wasilete uchafu wao Uganda na amesaini sheria kuwa Msenge au shoga akikamatwa Uganda atafungwa maisha!

Nchi za magharibi zimesema kuwa zitazuia misaada kwenda Uganda kwa sababu ya hiyo sheria. Rais Museveni kasema wakae na hela yao!

Mashoga (lesbians) wakifunga ndoa Marekani

*************************************************************

 Kutoka CNN.com

(CNN) -- Ugandan President Yoweri Museveni has signed into law a bill that toughens penalties against gay people and defines some homosexual acts as crimes punishable by life in prison.
Homosexual acts are already illegal in Uganda, and Museveni had gone back and forth recently about whether he would sign the controversial bill in the face of vocal opposition from the West.
At the public signing of the bill Monday, a defiant Museveni declared that he would not allow the West to impose its values on Uganda.

"We have been disappointed for a long time by the conduct of the West, the way you conduct yourselves there," he told CNN's Zain Verjee in Entebbe. "Our disappointment is now exacerbated because we are sorry to see that you live the way you live, but we keep quiet about it. Now you say 'you must also live like us' -- that's where we say no."
Portaits of gay Ugandan couples Portaits of gay Ugandan couples
Gay rights around the world
Gay and afraid in Uganda
The bill, introduced first in 2009, originally included a death penalty clause for some homosexual acts. It was briefly shelved when Britain and other European nations threatened to withdraw aid to Uganda, which relies on millions of dollars from the international community.
The nation's parliament passed the bill in December, replacing the death penalty provision with a proposal of life in prison for "aggravated homosexuality." This includes acts in which one person is infected with HIV, "serial offenders" and sex with minors, according to Amnesty International.

9 comments:

  1. Hivi ikitokea Museveni akapata mjukuu shoga itakuwaje? Ikumbukwe kuwa watu wengi huzaliwa na hali hii na sio chaguo lao kuwa mashoga. Kuadhibu mashoga ni sawa na kumuadhibu mtu kwa sababu kazaliwa mfupi, mrefu, mnene au mwembamba.

    ReplyDelete
  2. Kama we msenge wa kuzaliwa mpelekee babako ndo anaweza kukula pumbav

    ReplyDelete
  3. Watu msiofuatilia mambo ya nchi lakini papo hapo mnapenda sana kutoa maoni hasi inabidi ifike wakati mfanye kitu tofauti. Si lazima kuropokaropoka.

    Mwaka juzi kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Madola kule Australia, Tanzania ilitoa msimamo mkali kuliko huu wa Museveni. Aliporejea nchini, Waziri Membe akaongea na waandishi wa habari na kurudia tena. Alisema kama suala ni misaada yao basi wabaki nayo.

    Sasa mlitakaje?

    Juzi Rais Kikwete akihojiwa na CNN mjini London kasema Watanzania hawako tayari kwa mambo hayo. Kidiplomasia alikuwa anakataa wazi wazi kwa kurejea heshima ya utamaduni wetu.

    Iwapo itatokea, haitakuwa mara ya kwanza kwa Tanzania kukataa misaada ili kushikilia msimamo wake. Tanzania si nchi ya kutoa mwanya kwa ushenzi wa Magharibi lakini pia si lazima kubwabwaja kwa makelele.

    ReplyDelete

  4. Nimemwangalia na kumsikiliza Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza juu ya msimamo wa nchi yake kupinga shinikizo la nchi za Ulaya, hasa Marekani, kutaka asisaini sheria ya kuharimisha ushoga ili kuendelea kupata misaada!

    Nimependa sana alivyojibu: "we don't need aid, it's not the solution but part of the problem for Africa"

    Amewawakia Marekani na nchi za Ulaya wanaojaribu kumtisha kwamba watainyima Uganda misaada kwa kuwaambia waiache Afrika ifanya maamuzi yenye kulinda utamaduni wa kiafrika na si lazima kuiga kila kitu (hata mambo ya kijinga) kwa vile tu tunapata misaada.

    Swali nililojiuliza baada ya kumsikliza Museveni ni kwamba: Je, zamu yetu (Tanzania) ikija tukatakiwa kuonesha msimamo wetu juu ya "usodoma" hapa nchini, tunaye mtu pale ikulu au hata chini yake (mawaziri), au kule kwa wawakilishi wa wananchi (bunge) au kati ya wanasiasa (vyama vyote) wa kusimama mchana kweupe na kusema bila kumung'unya maneno msimamo wa watanzania walio wengi?

    Hofu yangu ni kwamba suala hili likijitokeza sasa, halafu likaunganishwa na tishio la kunyimwa misaada HAKIKA maCCM kwa wingi wao yatapiga NDIYOOOOOOO ili misaada isikauke yaendee kukamua na kutuacha tukihangaika na ushoga wa kupindukia hadi kwenye shule za chekechea...

    Sijui lakini, labda ni hofu yangu tu kutokana na uzoefu wa kuwa na uongozi legelege unaokubali kila kitu ili mradi misaada inakuja..

    ReplyDelete

  5. Ndugu zangu ,

    Nimeona nisikae kimya , nisiwe mnafiki na nisimamie kile ninachosimamia siku zote , suala la haki za binadamu kwa raia wote bila kujali mapungufu au matatizo yoyote aliyokuwa nayo .

    Kabla sijaanza kuandika ujumbe huu nimesikitishwa na kiongozi mmoja akiandika kwenye ukurasa wa kijamii kufurahia kitendo cha Rais wa Uganda Kusaini GAY BILL kwa kufuata mkumbo tu bila kujua hawa ni miongoni mwa wapiga kura wake .

    Tukirudi kwenye suala la jamii za watu wenye jinsia moja yaani mashoga kwa upande wa wanaume na wasagaji kwa wanawake , kuna mambo kadhaa inabidi jamii ijue nitaweza wazi kwa ufupi .

    Katika katiba mpya haki zao zitakuwa kwenye kipengele cha jamii ndogo ndogo .

    1 – Ndani ya jamii hizi kumekuwa na magonjwa mbalimbali , kutokana na hawa watu kutokujulikana waziwazi wamekuwa wanajificha ndani hata mahospitali hawaendi hata watoa huduma hawawafikii matokeo yake ni kuathirika zaidi na kupoteza watu wengi zaidi .

    2 – kuna wale washauri nasaha na wengine watoaji wa huduma za afya haswa zinazohusiana na ugonjwa wa ukimwi , wamekuwa wanapata tabu kumaliza gonjwa hili na mengine yanayohusiana na hili kutokana na kutokuwa wazi .

    3 – Kuna ushahidi wa wazi wa vitendo vya mahusiano ya jinsia moja haswa katika nyumba za ibada au kwenye huduma za ibada na taasisi za kidini haswa kwa watu wazima na watoto wadogo wanaopelekwa kujifunza na matokeo yake ni kuificha jamii hii ambayo imelelewa na kufichwa kwenye nyumba za ibada .

    4 – Kwenye katiba mpya inayokuja kinachopiganiwa ni haki ya jamii ndogo ndogo kama hizi za Mashoga , wasagaji , Hadzabe na nyingine nyingi zilizopo nchini ambazo rais ameapa kuzilinda na kuzitetea bila ubaguzi wowote .

    5 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe Jakaya Mrisho Kikwete alichaguliwa na watu mbalimbali na aliapa kulinda watu wote na kuongoza nchi hii wakiwemo hawa ambao sasa hivi wanatengwa na kuonekana si mali kitu na si chochote .

    Kwa kumalizia napenda kusema na kusisitiza tena , Kwamba hii ni nchi yetu wote , basi haki za wote ziheshimiwe bila kuingilia mambo ya faragha ya watu wengine , sasa tuko kwenye mchakato wa katiba mpya hili suala liangaliwe na tunakaribia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 natumai viongozi wetu watatumia hekima katika kuangalia na kusimamia haki za jamii ndogo ndogo .


    ReplyDelete
  6. dhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.
    Rais Museveni alitia saini mswada huo nyumbani kwake katika hafla
    iliyoshuhudiwa na maafisa wakuu wa serikali pamoja na wandishi wa
    habari.

    Mswada huo ambao sasa utakuwa sheria, unatoa adhabu ya kifungo cha
    miaka 14 jela kwa wale watakaopatikana na hatia kwa mara ya kwanza,
    Adhabu ya maisha jela itatolea kwa watu watakaopatikana na hatia ya
    kushiriki mapenzi ya jinsia moja zaidi ya mara moja kati ya watu
    wawili waliokubaliana kufanya hivyo.
    Adhabu hiyo pia itatolewa kwa wale wanaopatikana na hatia ya
    kuwahusisha watoto katika vitendo hivyo, walemavu au kumuambikiza mtu
    virusi vya Ukimwi.
    Mswada huo umepigiwa debe sana nchini Uganda, lakini mashirika ya
    kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameulaani.

    http://www.bbc.co.uk/swahili/

    ReplyDelete
  7. Uganda's moving towards barbaric laws! What CONSENTING ADULTS do behind CLOSED doors is nobody's business. What's with Uganda's obsession with private sex lives. Again, people need to learn to TOLERATE 'differences'. So there...

    Life's too short to dwell on petty things. Surely, Ugandan politicians and legal eagles have more important and pressing matters to concentrate on!

    ReplyDelete
  8. Anonymous of March 01, 2014 9:32AM~~ Indeed, there should be HUMAN RIGHTS for EVERYBODY, including MINORITIES of all kinds! It SHOULDN'T matter what SEXUAL ORIENTATION or SEXUALITY. Yup, GAY people vote too!

    Equal Rights for Everybody, REGARDLESS of SEXUAL ORIENTATION!

    ReplyDelete
  9. Anony February 28, 2014 5:21 AM niletee tigo yako niitafune.

    ReplyDelete