Misiba imefululiza. alipoteza wajukuu watatu katika miezi chache na wiki iliyopita alifariki Shangazi Mrs. Rozina Che-Mponda Hauli, mke wa baba mdogo, ghafla. Dada yangu anasema kuwa shangazi alilia sana huzuni zilimzidi na inaeleke alipata stroke (kiharusi).
***************************************
Aunt Greene you were such fun despite the tragedies that plagued your life. You now join Uncle Selwin, your children, James, John & Happiness, and your many grandchildren and great grandchildren who died before you, in Heaven. No one should endure the grief you endured, but you stayed strong until you could take it no more. We will always remember you my dear Shangazi Greene.
Rest in Peace.
Shangazi (mwenye Kilemba), Dada Eliza (katikati), na wifi Mrs, Mburuma (kushoto) |
Mimi na Shangazi Greene mwaka 2010 nilipoenda Tanzania |
Mrs. Greene Kapepela Chale (1932 - 2014) |
Pole sana Mungu atawapokea marehemu wote kwa amani.Wanasema inauma kutngulia ila mungu amepanga hatuwezi kupangua.
ReplyDeleteInaonekana imekuumiza sana maana umehadithia yote yalotkea ktk familia.
Kumbuka mataizo yapo kwa wote na kifo ndo mwisho wetu
CONDOLENCES to you (sis) and your family. May your SHANGAZI (and all family members who passed away recently REST IN PEACE...
ReplyDelete