My mother has just passed away. Inna lillah wainna illaih raajiun
|
Marehemu Bi Shida Salum, alikuwa mama mzazi wa Mh. Zitto Kabwe |
|
Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama Hajjat
Shida Salum, enzi za uhai wake.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (CHAWATA), Shida Salum,
ambaye alikuwa mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo, CHADEMA, aliyekuwa
amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU)
katika Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam akisumbuliwa na maradhi
ya saratani, ameaga dunia.
|
Innalillah Wainnailayh raj'uun.
ReplyDeleteMhe. Zitto stahmili kwa msiba wa Mama mpenzi. Mimi na familia yangu tunakuombea kwa Allah akupe ww na wanafamilia moyo wa subira ktk kipindi hichi cha msiba. Na Inshaallah ampumzishe marehemu Mama Shida kwa salama kwa kumfutia madhambi yake.
Sote tutakufa na kwake allah tutarejea. Atupe safari ya amani.
Jabir
Pole sana mheshimiwa zitto kabwe
ReplyDeleteApumzike kwa amani Mama Shida:Mola amuweke mahala pema,na ampunguzie
ReplyDeleteadhab Kabri mpaka siku ya kiama ambayo hatujui i lini
Poleni sana Zitto, familia, jumuia ya walemavu, Wanaharakati na CHADEMA.
ReplyDeletePole sana Mh. Zitto na familia kwa ujumla, Mungu awape moyo wa uvumilivu wakati wa majozi haya makubwa.
ReplyDeleteTo Hon. Zitto Kabwe and Family,
ReplyDeletePlease accept my sincerest condolences for the tragic loss of your dear mom.
I hope that the Lord will give you the strength and the wisdom to weather these difficult and sad times.
May the good Lord Rest her Soul in Eternal Peace.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Lala Salama Mama Shida Salum. Hapa hatuna mji udumuo bali tunautizamia ule ujao. Pole Zitto , Marafiki zako tuko na wewe katika kipindi hiki kigumu mno maishani. Endelea kumtumaini Mungu huku ukiamini kuwa kila nafsi itaonja mauti.
ReplyDeleteJifariji na maneno haya kutoka kwenye Biblia takatifu.
"Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika,wakaa milele. (ZAB 125:1)
pole na pole sana mhe Zitto, Mungu akupe nguvu za kuhimili msiba huu mzito
ReplyDelete