Hali inatisha.Allah atusalim salama!
JAMANI HALI INATISHA
SANA,NIPO HAPA NILIKUWA NA MTU NAFANYA NAE KAZI ANANIHADITHIA JINSI
ALIVYOIBIWA PESA IJUMAA ILIYOPITA NIMEOGOPA,SIJUI TUFANYEJE TUWAPO NA
PESA UUWIIIIIII.
NAHISI KABISA WAHUDUMU WA BANK AU MAMENEJA WA BANK
WANASHIRIKI HUU MCHEZO,ANASEMA ALICHUKUA MKOPO NMB SH MILIONI 30!!KWA
NIA YA KUMALIZIA UJENZI,SIKU YA IJUMAA KUNA KAZI ALITAKA KUFANYA NA
FUNDI KUNA VIFAA WALITAKIWA WANUNUE PAMOJA NA GHARAMA ZA UFUNDI INGEFIKA
KM MILION 10 HIVI,AKAENDA BANK MLIMANI
CITY KUCHUKUA HIZO PESA,
AKIWA TAYARI AMESHAZICHUKUA FUNDI AKAMPIGIA SIMU
KUWA AMEFIWA KWA HIYO KAZI HAITAFANYIKA KWA SIKU 3,YULE KAKA AKAONA
ASIKAE NA PESA NYINGI HIVYO AKAAMUA AZIWEKE TENA MILION 7 ABAKI NA
3,NAHISI ALIVYOCHUKUA ZILE PESA AKAWA AMESHALENGESHWA,ALIPOTOKA TU BANK
AKAPIGIWA SIMU NA MTU MWINGINE WALIONGEA DILI LA TILES KUWA AMRUSHIE M 1
KWENYE M PESA MAANA DILI LIKO TAYARI,AKAINGIA PALE VODA AKAWEKA PESA
AKAMTUMIA AKABAKI NA M 2 AKAWEKA NA NYARAKA ZAKE FULANI MLE KWENYE
BAHASHA YA FEDHA,AKATOKA,ANASEMA MUDA WOTE KUNA KIJANA ALIKUWA ANAMFATA
NYUMA AKIINGIA SEHEMU YULE KIJANA ANASIMNAMA NJE KUZUGA LKN HAKUMTILIA
MAANANI,AKAINGIA KWENYE GARI AKAONDOKA KUPITIA GETI LA UPANDE WA
SURVEY,ILE ANAKATA KONA PALE ZINAPOPAKI BAJAJ KUNA PIKIPIKI IKAM
BLOCK,AKAJA KIJANA MMOJA DIRISHANI ANA BASTOLA AKAMWAMBIA TUPE HIZO
MILION 10 ZETU,USIPIGE KELELE KISHA ONDOA GARI FASTA,KWA KUKUHURUMIA
HATUKUUI,TUPE HELA NA HUO MKOPO TUTAUTUMIA WOTE!!!.
YULE KAKA ANASEMA
ALIBAKI MDOMO WAZI,HAWA WATU WAMEJUAJE KM NIMEKOPA??BASI ALICHOFANYA
AKAWAPA ILE BAHASHA FASTA IKIWA NA MILION 2 LKN IMETUNA NA YALE
MANYARAKA MENGINE WAKAJUA MILION 10 IKO MLE KUMBE MWENZAO ALIZIRUDISHA
NYINGINE,AKAONDOA GARI MBIO,ANASEMA ILE TU KUNUSURIKA KUFA
ALICHANGANYIKIWA AKATOKA MBIO MOJA KWA MOJA HADI MSIKITINI
MWENGE,AKASWALI KUMSHUKURU MUNGU,AKARUDI NYUMBANI,ANASEMA ANAOGOPA KBS
KWENDA TENA BANK NDO ALIKUWA ANAOMBA NIMUELEKEZE JINSI YA KUHAMISHA
FEDHA TOKA KWENYE ACOUNT KWENDA M PESA ILI AWE ANATOLEA KWA WAKALA,TUWE
MAKINI JAMANI PESA ZETU WENYEWE ZITATUUA!!!
Hapo mlimani city ni balaa. Same friday jamaa mwingine ametoka bank na 18m yake. Kufika gate la survey hao hao jamaa wa bodaboda wakamfuata na kumwambia tupe pesa uliyochukua bank. Akawapa, then akataka kimbia maana ofisi yake ipo maeneo hayo hayo. Aaah hawakumpa nafasi wakamlamba risasi. Ni marehemu sasa masikini baba wa watu.
ReplyDeleteTanzania imekuwa crimanal. haifai. madawa ya kurevya, wahujumu wa mali ya umma, majambazi,alafu hao hao wafanyakazi wa benk ndio wanashirikiana na mijambawazi, kuwapoint watu wanaokuja chukua hela zao, tena wale watu wa kawaida,hawawapoint ile mjaamaa yenyemahela mpaka ya biashara ya midawa ya kulevywa, wanawogopa, kwa kwa kuwa wanmtandao mkubwa, ata wachukue sh. ngapi hawafwatili kwa kuwa ni criminal nao.kwa hiyo baadhi ya mifanyakazi ya benk ni micriminal mijambawazi,
ReplyDeleteWhat do you expect kama polisi wamekalia kukusanya rushwa tu? Wahalifu wanajua polisi wa Tanzania hawana muda wa kupambana na uhalifu.
ReplyDelete