Nimepata kwa Email:
Kuna watu 3 au 4 wanapita majumbani wakidai wanatoka kampuni ya maji
wamekuja kuweka bomba ya mvua ili kuokoa upotevu wa maji au watadai
wanatoka Eskom au sehemu kama hizo wanabadilisha balbu bure. Wameonekana
sehemu nyingi. USIWARUHUSU kuingia ndani ni wezi majambazi wa kutumia
bunduki. Wataarifu wote kwenye kitabu chako cha simu kwani unaweza
kuokoa maisha yao. Hakikisha milango na madirisha umefunga na
usiwaruhusu watoto kuwafungulia wageni wasiowajua
No comments:
Post a Comment