Swahili Time
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Saturday, May 09, 2015
Mafuririko Dar es Salaam!
Jamani, jamani! Watu wameambiwa wasijenge Jangwani! Lakini wapi, wanajenga. Haya sasa ona matokeo! Picha Kutoka
Facebook.
Fenecha ya mtu
Sebuleni hapo
Aerial View of Jangwani Dar es Salaam
Mliozoea kwenda shopping hapo, mlie tu!
Hapo Sinza
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment