Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Saturday, December 17, 2022
Nyani Wasaidia Wanasayansi katika Utafiti kugundua chanzo cha Binadamu kutembea kwa Miguu Miwili
Familia ya Nyani aina ya Chimpanzee
Nyani wa Tanzania wanasaidia wanasayansi kugundua sababu ya binadamu kutembea kwa miguu miwili. Pia tusisahau kuwa wanasayansi wanasema Tanzania ni chimbuko la bindamu duniani. Kusoma habari zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment