Wednesday, December 19, 2007

Ghorofa Upanga



Upanga pamebadilika kweli. Picha nilipiga mwezi wa 7, 2007 nikiwa Bongo.

Hii ghorofa (Luxury) iko Upanga karibu na Muhimbili Medical Centre. Niliambiwa kuwa Condo (fleti) zinauzwa mle kwa dola $150,000.

15 comments:

  1. Hebu nisaidie dada yangu, Condo ni nini? Nimeshindwa kabisa kuelewa hicho ulichosema kinauzwa kwenye hiyo nyumba kwa dola 150,000.

    ReplyDelete
  2. Condominium ni fleti ambayo una miliki moja kwa moja hakuna kodi ya mwezi.

    ReplyDelete
  3. mimi ulinichanganya ila asante huyo wa juu yangu kwa kutuelewesha

    ReplyDelete
  4. Hivi Chemi nawewe pia unajichubua ngozi?

    ReplyDelete
  5. Ufanye mazoezi dada acha uzembe, dah utakufa kwa maradhi ya moyo na presha bureeee...ni wazo tu usijenge chuki, we iweke tu itawafaa na wengine kama wewe.

    ReplyDelete
  6. Du umri umesogea lakini bado rasta sio.ndio maana upati mume watu wengi hawapendi marasta

    ReplyDelete
  7. sasa wewe dada unafanya nini Marekani mbona unaonekana kama hali yako kimaisha ngumu sana kwanini usije tafuta kazi bongo

    ReplyDelete
  8. Hivi ni kweli Chemi huna mume? Mi nimimaindi mzigo. Nipe namba zako kwa cybernetics.bureau@yahoo.com naweza kuoa

    ReplyDelete
  9. Du kumbe ndio ulivyo kipipa!!! mama weee!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Ila chemi tuseme ukweli wewe mbaya bwana du

    ReplyDelete
  11. Wewe unayesema Chemi mbaya ukome! kuna wanaume kama mimi tunapenda wanawake wa aina hii, ambao huku U.S.A tunaita BBW!!Chemi usiwajali washamba tu hao, kama unafanya mazoezi we fanya kwa ajili ya kuwa fit tu, lakini sio kupunguza hilo umbo la mahaba. Tuwasiliane Chemi mi nakufagilia jinalangu@hotmail.com

    ReplyDelete
  12. LOL! Nilidhani watu watacomment kuhusu hiyo ghorofa lakini mimi ndo nimekuwa main character!

    ReplyDelete
  13. huyo anon wahapo chini chemi anakudanganya eti anakupa email address yake wewe kafanye zoezi upungue uwe atleast huyo yuko desparate ya kukosa mwanamke huko nje jitengeneze wacha usela ndio unakufanya usionekane mzuri lakini sio mbaya hivyo kama watu wanavyosema

    ReplyDelete
  14. Kwenye picha hapo juu ulifanya nini nywele zako ulikata au(chemi)?

    ReplyDelete
  15. Tazama vizuri, nilifunga kitambaa kichwani.

    ReplyDelete