Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Wednesday, June 16, 2010
Mama Che-Mponda Asherekea 70th Birthday
Mama yangu mzazi amesherekea miaka 70 ya kuzaliwa, huko Maryland
HAPPY BIRTHDAY MOM!
Wazazi wangu, Dr. Aleck & Rita Che-Mponda
Tulienda kula Brunch pale National Harbor, Mzee George Washington (rais wa kwanza wa Marekani) na Mke wake Martha walitusalimia. (Hao ni waigizaji) Wazee wakipumzika pale National Harbor Mama na mabinti zake pamoja na Mjukuu Caleb(Mtoto wa mdogo wangu Malaika)
8 comments:
Anonymous
said...
Hongera mama nakutakia maisha marefu! Da Chemi mama naonekana kijana kuliko wewe punguza mafuta dada uwe kama mama!
Nampa Hongera mama yako Chemi. Nimemwona tokea mkiwa wadogo niksoma Mlimani. Kilichonivutia kwake ni pale alpokuwa akienda kuwasalimia ndugu zenu Manzese akipanda UDA. Muwe na upendo kama yeye kwa ndugu wa hali zote. Happy Birthday Madam
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
8 comments:
Hongera mama nakutakia maisha marefu! Da Chemi mama naonekana kijana kuliko wewe punguza mafuta dada uwe kama mama!
mama yako ni mzuri sana da Chemi Hongera
Jamani, the mom at 70 yuko hivyo! Mungu aendelee kumpigania na kumjaalia afya njema...Da Chemi, siamini kama mwili huo wa mama utaupata..
Nampa Hongera mama yako Chemi. Nimemwona tokea mkiwa wadogo niksoma Mlimani. Kilichonivutia kwake ni pale alpokuwa akienda kuwasalimia ndugu zenu Manzese akipanda UDA. Muwe na upendo kama yeye kwa ndugu wa hali zote. Happy Birthday Madam
Mnajipenda na mmependeza. Kaka yenu yuko wapi?
Chemi jamani mama kwapita wote kwa uzuri na Model duuuu... kweli nimempenda mmama yako Da Chemi.
Asante kwa picha za mwanao kuoa na Hongera sana !
Wow! Lovely mum
Happy Birthday Mrs Che Mponda
CHEMPONDA HUZEEKI NAKUMBUKA ENZI NILIPKUWA NASOMA CHUO KUKUU.HONGERA KWA KUPATA MKWE.
Post a Comment