Showing posts with label Emmanuel Urio. Show all posts
Showing posts with label Emmanuel Urio. Show all posts

Monday, September 07, 2009

Anaomba Mssada


Kutoka kwa Da Florah Lauwo

Mdau wetu haya ndio haswaa! mazingira anayoishi kijana Emanuel Urio, Aliezaliwa jijini Mwanza akiwa na ulemavu wa mikono na miguu.Emanuel anaweza kujiendeleza na mambo mengi endapo atapata msaada kutoka kwako.Mdau wewe umempa nini Mungu kukuleta duniani bila kasoro yoyote?MSAIDIE EMA NA MUNGU ATAKUONGEZEA.Kitu ambacho Ema anachukia ni kukaa barabarani akiomba msaada,anapenda sana kusoma, kuchora, kuimba na mambo mengine meengi.Namba zake za simu ya mkononi ni,0757,839674

1.Ema akiwa nje choo wanachotumia
2.HAPA EMA ANAPELEKWA UANI NA KAKA YAKE

ukitaka kuijua familia yake na habari zake gonga hapa

http://florasalon.blogspot.com/2009/08/mwacheni-mungu-aitwe-munguna-usimjaribu_5238.html#comments