Showing posts with label Guys Choice Awards. Show all posts
Showing posts with label Guys Choice Awards. Show all posts

Friday, June 05, 2009

Walijisahau?

Hizi picha za Halle Berry na Jamie Foxx zilipigwa majuzi kwenye 'Spike TV Guys Choice Awards 2009' . Walistahili kuwa kwenye chumba chenye faragha!

Oh Halle, hatimaye tumekuwa pamoja!

Oh Jamie, nami nilitaka kuwa na wewe siku nyingi kweli!

Halle uko fine kweli na una tako freshi. Jamie, hivi huo mtuno ni kwa ajili yangu?
Twende basi sehemu nika...... na tumalizane!

Hata, tumalize hapa hapa!

Nimekupenda siku nyingi!

Kumbe tuko National TV! Dah! Sijui watoto wetu walituona!
Kwa habari zaidi nenda: