Showing posts with label Happy Easter. Show all posts
Showing posts with label Happy Easter. Show all posts

Sunday, March 31, 2013

Happy Easter! Pasaka Njema!


Nawatakia wadau wote sikukuu njema ya Pasaka!

Happy Easter!

Sunday, April 24, 2011

Heri ya Pasaka/ Happy Easter!

Nawatwakia wadau wote Pasaka Njema. Happy Easter Everyone!

Sunday, April 04, 2010

Heri ya Pasaka! Happy Easter!



Wadau, waKristo duniani pote leo wanasherekea siku ya kufufuka Bwana Yesu Kristo (Pasaka). Pia kwa hapa Marekani, ni siku ambayo Sungura wa Pasaka (Easter Bunny) anapita na kugaia watoto mayai yaliochemeshwa na kupakwa rangi, na pia mayai ya chocolate.

Pasaka Njema! Happy Easter!