






Hebu chekini hii michoro ya kwenye njia za wapita miguu (sidewalks). Zimechorwa kwa mtindo wa 3D (Three Dimension) yaani zinadanganya macho kabisa.
Zimechorwa na msanii maarufu wa Uingereza, Julian Beever. Usanii wake unaweza kuona kwenye mita ya nchi za Uiingereza, Ujerumani, Ufaransa, Marekani, Ubelgiji na Australia.


