Mateka (War Prisoners)Wadau, hebu tazama hao mashujaa waliopigana katika vita vya Maji Maji. Tumesahau hiyo Vita.
WaNgoni wakiongozwa na Kinjeketile wakipigana vikali dhidi ya waJerumani walipolazimishwa kulima pamba na kulipa kodi. Waliamini kuwa eti wakisema Maji Maji risasi za Mjerumani hazitawadhuru na zitageuka maji. Mbona walikufa wengi.
Mnaweza kusoma habari zaidi:



