Monday, July 14, 2014
Wazungu Watajirika Kwa Kuuza Bangi Kihahali Marekani!
Dr. Farrah Gray awapasha!
www.FarrahGray.com
Saturday, January 31, 2009
Mdogo Wake Rais Obama Amekamatwa Kenya!
(George Obama nyumbani kwake Nairobi)Mdogo wake Rais Barack Obama wa Marekani, George Obama, amekamatwa na polisi huko Nairobi baada ya kukutwa na sigara ya bhangi.
Hapa wazungu wanashangaa maana siku hizi kuwa na sigara moja tu ya bhangi si kosa la jinai tena!
Kama mtakumbuka wakati wa uchaguzi Republicans walimlima kweli Rais Obama kwa vile walisema modgo wake anaishi maisha ya dhiki katika eneo duni la Nairobi.
**************************************
By TOM ODULA
NAIROBI, Kenya (AP) -- Kenyan police say the half brother of President Barack Obama has been arrested for possession of marijuana.
Area police chief Joshua Omokulongolo said George Obama was picked up Saturday and was being held at the Huruma police post in the capital. Omokulongolo said officers found one joint of marijuana on him.
George Obama and the president had the same father but barely know each other.



