Showing posts with label Mark Ndesanyo. Show all posts
Showing posts with label Mark Ndesanyo. Show all posts

Monday, March 02, 2009

Rais Obama na Ndugu Zake White House

Pichani ni kaka yake Rais Obama, Abongo, Mama yake wa Kambo Mrs. Obama (aliyevaa nguo ya njano) anayekaa Uingereza kwenye nyumba za Council, kulia kabisa ni Mark Ndesanjo, na David Ndesanjo (mama yao ni mzungu aliyezaa na Barack Sr. ). Hebu cheki Mark anavyofanana na rais!

Unaweza kupata habari kamili kwa kubofya hapo chini:

http://www.dailymail.co.uk/news/worldnews/article-1158473/From-Bracknell-Kenya-Washington-First-picture-Obama-British-stepmother-inside-White-House.html