Mwigizaji maarufu wa Namibia marehemu 'N!xau' katika sinema ya The Gods Must be Crazy!Huyo Usher kafanana sana na yule mwigizaji mkuu wa sinema ya The Gods Must be Crazy! Utadhani ndugu yake! Ama kweli duniani wawili wawili!
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Mwigizaji maarufu wa Namibia marehemu 'N!xau' katika sinema ya The Gods Must be Crazy!