Showing posts with label Samaki. Show all posts
Showing posts with label Samaki. Show all posts

Wednesday, June 23, 2010

Samaki Mrefu

Picha kutoka: http://www.barnorama.com/wow-thats-one-big-fish/

Huyu ni samaki aina ya Herring. Anapatikana huko nchi za Scandinavia. Anaweza kufika urefu wa mita 17! Hebu fikiria kama wangekuwa huko Ziwa Victoria wanapambana na Sangara!

Samaki mkubwa hivyo angeweza kulisha watu wangapi huko Bongo? Ugali na Samaki.

Saturday, July 05, 2008

Samaki Mtu

Asante mdau, Maria, kwa kuniletea picha hizi.

Huyo samaki wa ajabu alipatikana huko Indonesia baada ya Tsunami. Kakaa kama samaki mtu au ndo nguva tunazosikia?