Showing posts with label Sign Thief. Show all posts
Showing posts with label Sign Thief. Show all posts

Wednesday, October 22, 2008

Mwizi wa Mabango ya Obama


Nakuambia kuna wazungu ambao wameshikwa na roho ya kibaguzi.Cheki huyo mzungu jike anavyoiba mabango ya Obama! Hapo ni Tempe, Arizona. Polisi bado wanamtafuta! Na bado! siku zinakaribia mambo yatazidi kuwa mabaya. Tayari kuna wazungu wanaosema bila aibu kuwa hawataki n-word aongoze nchi. Mungu amlinde Obama na familia yake maana kuna njama za kummaliza!

Unaweza kusoma maoni na kuiona kwa KuBOFYA HAPA:

Mtu moja huko kasema, " This does not surprize me. After all, Republicans are well known to STEAL elections, so this is probably the lady's initiation into her local Republican party. She must return with at least 25 stolen Obama signs or else no membership. "