Wadau mna kumbuka ile tangazo kwenye Radio Tanzania enzi zile: watoto walikuwa na vikundi wanashindana kuimba. Shule walimu walikuwa wanachukia maana darasa nzima inaweza kuimba. Hizo redio zilikuwa mali kweli, tena kabla ya TV kuruhusiwa.
Philips
Ndio enyewe
Sauti Safi
Sauti Kubwa!
Showing posts with label Tangazo. Show all posts
Showing posts with label Tangazo. Show all posts
Tuesday, November 12, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)



