Showing posts with label Tiger Woods. Show all posts
Showing posts with label Tiger Woods. Show all posts

Monday, August 23, 2010

Tiger Woods na Mke Wake Wameachana

Tiger Woods na mke wake mzungu Elin Nordegren wameachana. Habari zimetangazwa rasmi leo. Ndoa ya Tiger ilianza kuvunjika mara mke wake alivyogundua anatembea na mzungu mwingine. Haikuishia hapo....iligundulika kuwa Tiger katembea na majike wa kizungu zaidi ya 14 wakati wa ndoa yao. Wote wazungu wenye nywele blonde. Hata siku moja hajaonekana na mwanamke mweusi.

Haya Elin anarudi kwao Sweden na donge nono. Tiger ni billionaire na walizaa watoto wawili moja ana miaka mitatu mwingine wa kiume ana mwaka moja tu.

Pole zao naona mapenzi yakawa chungu.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

http://www.golf.com/golf/tours_news/article/0,28136,2012613,00.html

Tuesday, December 22, 2009

Tiger Woods na Father Krismasi





Tiger Woods' Holiday Poem


"Twas the night of Thanksgiving and out of the house,

Came Tiger a flyin', while chased by his spouse.

She wielded a nine iron and wasn't too merry,

'Cause a bimbo’s phone number was in his Blackberry.


He’d cheated on Elin, and the story progressed.

Gal after gal stepped up and confessed.


He’d been cheatin’ with Holly, and Jaimee, and Cori,

With Joselyn, and Kalika . . . The world heard the story.


From the top of the Tour to the basement of blues,

Tiger’s sad sordid tale was all over the news.


With hostesses & waitresses, he had lots of sex,

When not in their pants, he was sendin' them texts.


Despite all his cryin’ and beggin' and pleadin',

Tiger’s wife went and bought a new home in Sweden.


And I heard her exclaim from her white Escalade,

"If you’re getting laid? Then I’m getting paid."


No, she’s not pouting, she's full of good cheer.

Her pre-nup made Christmas come early this year

Wednesday, December 02, 2009

Kumbe Tiger Woods Mzinzi!

(Tiger Woods Beaten)
Hii picha inazunguka kwenye e-mails leo.

Duh! Leo Tiger Woods amekiri kuwa katembea nje ya ndoa yake. Na si yule Rachel tu, mwingine kajitokeza na ana ushahidi! Hivi ubongo wa mwanaume unakuwa kwenye dhakari nini? Leo kuna habari kuwa Tiger na mke wake wanakwenda kwenye counseling!


Kwa habari zaidi someni:


http://www.sfgate.com/cgi-bin/blogs/abraham/detail?entry_id=52729

http://www.suntimes.com/entertainment/zwecker/1916410,zwecker-tiger-woods-marriage-elin-prenup-120209.article

http://www.nydailynews.com/gossip/2009/12/02/2009-12-02_tiger_woods_offers_profound_aplogy_for_transgressions_amid_rumored_affairs_with_.html