Showing posts with label Underwear. Show all posts
Showing posts with label Underwear. Show all posts

Thursday, February 16, 2012

Chupi Bomber Afungwa Maisha

Umar Farouk Abulmutallab baada ya kukamatwa na FBI
Yule kijana MNigeria, aliyejaribu kulipua ndege na bomu alivaa ndani ya chupi yake siku ya Krismasi mwaka 2009 amepata kifungo cha maisha.  Umar Farouk Abdulmutallab, alikuwa na miaka 25 alivyojaribu kulipua hiyo bomu ya chupi. Haikulipuka kama alivyotarajia na badala yake kaunguza nyeti zake, bolo na mapumbu!  Hivi ni mwanaume gani wa kiafrika asiyethamini nyeti zake?! Alikuwa tayari kujiua na kuua watu wengine eti kwa ajili ya dini! Atakuwa punguani huyo, wala si dini. Mwache akae huko gerezani maisha atakuwa mke wa Big Bob.***********************************


DETROIT (AP) — A Nigerian man on a suicide mission for al-Qaida was sentenced Thursday to life in prison for attempting to blow up an international flight with a bomb in his underwear as the plane approached Detroit on Christmas 2009.

The mandatory punishment for Umar Farouk Abdulmutallab, the well-educated son of a wealthy banker, was never in doubt after he surprised the courtroom and pleaded guilty to all charges on the second day of trial last fall.

Abdulmutallab sat with his hands folded under his chin, leaning back in his chair as the sentence was announced.

In October, Abdulmutallab said the bomb in his underwear was a "blessed weapon" to avenge poorly treated Muslims around the world. It failed to fully detonate aboard an Amsterdam-to-Detroit flight but caused a brief fire that badly burned his groin. Passengers pounced on Abdulmutallab and forced him to the front of Northwest Airlines Flight 253 where he was held until the plane landed minutes later.

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI!

Saturday, May 22, 2010

Halahala Wanaonunua Chupi Marekani!!!!

Kama unanunua chupi Marekani ni lazima mtazame hii video!!! Inahusu chupi za akina mama.

Huenda unanunua chupi ambayo imevaliwa na mtu mwingine tena haijafuliwa!

http://today.msnbc.msn.com/id/26184891/vp/35659447#35659447