Showing posts with label Zorse. Show all posts
Showing posts with label Zorse. Show all posts

Friday, October 24, 2008

Zorse

Eclyse the Zorse
Eclyse ni women's libber hana time na huyo dume!!!

Eclyse akitembezwa kwa ajili ya watalii

Baada ya kuona ile picha ya Zonkey niliamua kutafuta wanyama wengine waliochanganya damu.
Nimempata huyo Zorse...yaani ni mchanganyika wa punda milia (Zebra) na farasi (Horse).
Zebra + Horse = Zorse

Huyo Zorse anaitwa Eclyse na yuko Ujerumani. Mama yake ni punda milia na baba yake ni farasi. Alizaliwa baada ya mama yake kupelekwa kwa muda mfupi kwenye ranch ya mafarasi huko Italia. Alivyorudishwa kwake kwenye Safari Park walishangaa kuona ana mimba na kuzaa shombe.
Kwa habari zaidi za Eclyse tembelea: