hapa dada chemi inabidi utumie pythogoras theory sina uhakika na spelling za pythogoras unajua tena school long time ago lakini check this out x square=y square plus z square x=? y=4 z=3 x square=4 square plus 3 square x square=16 plus 9 x square=25 x=5 kwa hiyo dada chemi x ni 5.
Nyinyi nyote hapo juu mmekosea jibu sahihi ni kama alivoandika huyu (here it is), suala limesema find x na wala sio value of x, kwa hio jamaa kapatia jawabu!!
Tuliochukua somo la hesabu nafiiri darasa la 6.
ReplyDeleteFomula=Skwearuti ya Kimoxupana.
=(4x4)+(3x3)
=16+9
=25
Kwahiyo X=Skwearuti ya 25
X=5.Jawabu
hapa dada chemi inabidi utumie pythogoras theory sina uhakika na spelling za pythogoras unajua tena school long time ago lakini check this out
ReplyDeletex square=y square plus z square
x=?
y=4
z=3
x square=4 square plus 3 square
x square=16 plus 9
x square=25
x=5
kwa hiyo dada chemi x ni 5.
Da chemi usiwasikilize hao wagonjwa hapo juu wanataka kukuingiza mkenge tuu.
ReplyDeleteHizi esabu nazijua sana zinaitwa magazijuto.
3 ongeza 4 sawa na 7.
x=7.
Nyinyi nyote hapo juu mmekosea jibu sahihi ni kama alivoandika huyu (here it is), suala limesema find x na wala sio value of x, kwa hio jamaa kapatia jawabu!!
ReplyDelete