Nilidhani huko South Carolina, mambo pao kwa weusi. Kumbe bado.
Hebu cheki huyo Mwandishi wa Habari mweusi, tena mwanamke anavypoigwa na wazungu! Halafu anaburuzwa! Jina lake ni Charmayne Brown na anafanyia WSPA-TV. Mpiga picha wake, mwanaume mwuesi kapigwa pia! Walikuwa wanatukanwa N-word huko wakipigwa!
Polisi wameshikilia watu wanne kuhusiana na hii tukio!
Poleni sana.
Kwa habari zaidi na kuona video ya tukio Bofya linki hapo chini:
Ningemshauri huyo dada awasue hao wazungu lakini wanaonekana ni white trash. Hawana kitu.
ReplyDeleteMwanamke mzuri huyo!
ReplyDeleteInasikitisha sana!
ReplyDeleteAnon March 12, 2008 1:02 PM, ni mzuri kama Chemi? Black ladies bwana, we acha tu!
ReplyDeleteHIVI UBAGUZI UTAISHA LINI MAREKANI?KAZI KWELI KWELI
ReplyDelete