Nilibahatika kumwona mara nyingi akiwa rais wetu na nina story nyingi za kusimulia wajukuu wangu. Ni miaka tisa tangu atutoke siku ya Oktoba 14, 1999 huko Uingereza. Alikuwa huko kwa ajili ya matibabu. Alikuwa rais wetu wa kwanza na pia Baba wa Taifa.
REST IN PEACE
Kwa habari zaidi za maisha ya Mwalimu Nyerere someni:
http://allafrica.com/stories/200810130183.html
http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/441768.stm
http://www.ippmedia.com/ipp/observer/2008/10/12/124364.html
R.I.P Mwalimu
ReplyDeleteKila mtu ana ubaya na uzuri wake. Lakini kwa ujumla Baba yetu wa Taifa wa kwanza alitufundisha: upendo, uzalendo, umoja, uaaminifu hakuna ubaguzi, ukabili,
ReplyDeleteudini na mengine mengi. Elimu ilikuwa ni muhimu kwa wote. "adult education hadi vijijini, equal chances hata mtoto wa mlalahoi alisoma bila matatizo.
RIP Baba, we will always miss You!
Grandma
Nakumiss sana mwalimu.
ReplyDeleteUmefanya mema mangi.Natambua kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako lakini hakika bado unastahili pongezi kwa mengi uliyowatendea waafrika na si tanzania tu