Kimsingi kazi hii inayofanywa na Kikwete ya kupambana na mafisadi na kuisafisha nchi inatoka na uozo ndani ya serikali ya Nkapa. Huyu ndiye wa kubeba huu msalaba kwani yeye ndiye kiini cha yote haya. Anzia IPTL, kuuzwa TANESCO, NBC, Mikataba mibovu ya madini, kuiendeleza EPA na kuchota mapesa, kufanya biashara Ikulu, Mgodi wa Kiwira n.k. ambayo hatujui.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuuliza "Hivi kuna biashara gani Ikulu." Akaongeza "Ikulu ni mahali patakatifu." Hapo ndipo alipoibuka na Mr. Clean! Mwalimu alipotutoka tu, Ikula ikawa mahala PATAKA-VITU. Tume ya Warioba ikapigwa chini, Jaji Kisanga aliviona visanga vya Nkapa. Nchi ikajaa kashifa kila kona. Heshima na hadhi ya Chama Cha Mapinduzi ikashuka. Wananchi wakakosa imani kabisa na serikali yao.
Aliyoacha ameyapandikiza Nkapa sasa JK anavuna matunda. Mzigo na lawama zinamwandama JK kila kukicha. Kiini cha tatizo kipo na kishughulikiwe. Tusimlaumu ndipo sipo.
Mimi langu swali tu? lengo la Serikali ya JK ni kusafisha uozo au ni Uhasama na Kisasi?
ReplyDeleteMdau USA
Kimsingi kazi hii inayofanywa na Kikwete ya kupambana na mafisadi na kuisafisha nchi inatoka na uozo ndani ya serikali ya Nkapa. Huyu ndiye wa kubeba huu msalaba kwani yeye ndiye kiini cha yote haya. Anzia IPTL, kuuzwa TANESCO, NBC, Mikataba mibovu ya madini, kuiendeleza EPA na kuchota mapesa, kufanya biashara Ikulu, Mgodi wa Kiwira n.k. ambayo hatujui.
ReplyDeleteMwalimu Nyerere aliwahi kuuliza "Hivi kuna biashara gani Ikulu." Akaongeza "Ikulu ni mahali patakatifu." Hapo ndipo alipoibuka na Mr. Clean! Mwalimu alipotutoka tu, Ikula ikawa mahala PATAKA-VITU. Tume ya Warioba ikapigwa chini, Jaji Kisanga aliviona visanga vya Nkapa. Nchi ikajaa kashifa kila kona. Heshima na hadhi ya Chama Cha Mapinduzi ikashuka. Wananchi wakakosa imani kabisa na serikali yao.
Aliyoacha ameyapandikiza Nkapa sasa JK anavuna matunda. Mzigo na lawama zinamwandama JK kila kukicha. Kiini cha tatizo kipo na kishughulikiwe. Tusimlaumu ndipo sipo.