Tuesday, December 09, 2008

Uhuru 9-12-61

Bendera ya Tanganyika


Uhuru wa Tanganyika ulikuwa Disemba 9, 1961. Ni miaka 47 iliyopita. Pichani ni mezi kadhaa kabla ya uhuru mwaka 1961, Mwalimu akiwa na Mama Barbro Johansson nyumbani kwake Kahororo, Bukoba. ( Picha kwa hisani ya Maggid Mjengwa Blog)

1 comment:

  1. AHSANTE SANA MAANA HIYO PICHA INIKUMBUSHA SHULE YANGU NILIYOSMA . KAHORORO SEC SAFI SANA MDAU MATUKIO KAMA HAYA MUHIMU SANA KWA JAMII ZETU KUJUA TUNATOKA WAPI NA TUNAENDA WAPI ??
    AHSANTE SANA

    ReplyDelete